iqna

IQNA

hazem qassem
Jinai za Wazayuni
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapamabano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas imetoa wito wa kuundwa muungano dhidi ya vitendo vya uchokozi vya utawala wa Kizayuni wa Israel, baada ya takriban wanajeshi watatu wa Syria kuuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora ya Israel dhidi ya Syria.
Habari ID: 3475627    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15